Fanya hivi:-
Chuchumaa na kuinuka mara 20 asubuhi
unapoamka na rudia hivyo jioni.
Matokea ndani ya wiki 1 utayaona, kwa upendeleo wako unaweza kuendelea hata zaidi ya wiki moja kuongeza zaidi
lli kupata matokeo mazuri zaidi, unaweza kufanya jogging kidogo kabla ya kufanya hili zoezi
Fanya zoezi hilo kisha tupatie mrejesho kwenye comment
No comments:
Post a Comment