Shida hii ya homoni kushindwa kukaa sawa inawatokea sana waliotumia njia za kisasa za uzazi wa mpango, wanaotumia sana P2, japo baadhi husababishwa na ulaji mbovu usiozingatia kanuni za mlo kamili
Mlo mzuri kwa mwanamke ni kula wanga kidogo na kushiba zaidi mboga za majani na matunda matunda + angalau lita mbili ya maji kila siku.
Mwanamke hashauriwi kutumia vilevi, vyakula vyenye kukaushwa kwa mafuta, vyakula vinywaji/vyenye sukari nyingi kama keki, soda, na vyakula vya kukobolewa sio vyema kama unahitaji kuweka hormones zako sawa.
Zingatia hayo popote ulipo
Kama tatizo limeshakuwa sugu kiasi limepelekea mimba kushindwa kunasa na unahitaji mtoto kwa haraka ili kuleta amani ya moyo na hata ndani ya ndoa, ninazo dawa asili kwa ajili ya kusafisha mirija, kuondoa uchafu katika uzazi na kuongeza wingi wa homoni ili mzunguko wa hedhi uzidi kubalansi + mayai kupevuka kwa wakati na kulea mimba isichoropoke.
Unaweza kuwasiliana nami kwa simu 0765786500 / WhatsApp 0793857477
weka oda yako mapema mwezi huu kwa tsh 15,000/= tu.
Tunapatikana Dar es salaam
No comments:
Post a Comment